iqna

IQNA

Muhammad Neyshaburi
Tafsiri na Wafasiri wa Qur'ani Tukufu /16
TEHRAN (IQNA) – Tafsiri ya Qur’ani Tukufu ya Gharaeb al-Qur’an na Ragheb al-Furqan ni tafsiri jumuishi ya Qu’rani Tukufu katika suala la kujadili siri za maneno na na siri za kiroho katika Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3476520    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/06